Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa furaha maamuzi yaliyotolewa na
Kamati ya Utendaji ya CAF ya kuipa Tanzania nafasi ya kucheza fainali za Afrika
za vijana chini ya umri wa miaka 17 (Afcon U17). Mashindano haya yatanyika
nchini Gabon kuanzia tarehe 21 Mei, 2017 hadi 04 Juni, 2017.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini
No comments:
Post a Comment