KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, February 18, 2017

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU MAJALIWA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba  Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo.
Wakienda eneo la kufanyia mazungumzo.
Wakiwasili eneo la mazungumzo Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments: