Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad,akiwa katika mlango wa duka la kisasa la nguo za Cortefiel zinazopatikana kwa bei nafuu wananchi mnakaribishwa.
Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad,(kulia) akizungumza na waandishi kabla ya kuzindua duka hilo.Mwengine ni Afisa Masoko Laima Lauma.
Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad,(katikati) akizungumza na
waandishi kabla ya kuzindua duka hilo. Wengine ni Afisa Masoko Laima
Lauma (kushoto) na Meneja Msimamizi,Alawy Kassim.
Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad, akionesha nguo waandishi waliotembelea duka hilo kujionea vitu vizuri vya bei nafuu.
Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad, akionesha nguo waandishi waliotembelea duka hilo kujionea vitu vizuri vya bei nafuu.
Meneja masoko wa GSM MALL,Mohammed Saad, akiangalia moja ya mashati yaliyomo dukani humo na nguo aina mbalimbali Wananchi mnakaribishwa sana.
No comments:
Post a Comment