Waziri Dk. Harrison Mwakyembe azindua vifaa vya kufundishia vyenye thamani ya Sh.Milioni 100.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dk.
Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dk. Herbet wakati alipowasili katika taasisi
hiyo kuzindua vitendea kazi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk.
Harrison Mwakyembe (mwenye tai nyekundu) akiwa ameongozana na Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) Dk. Herbet Makoye pamoja
na viongozi wengine na watendaji wa TaSUBA wakati alipowasili katika taasisi
hiyo kuzindua vitendea kazi Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
No comments:
Post a Comment