Pichani ni Spika Mstaafu, Anne Makinda.
Spika Mstaafu, Anne Makinda (kulia) akiingia Ukumbini na kushoto ni Rais na mwanzilishi wa Chingu Kota
Spika Mstaafu, Anne Makinda (wa pili kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Dar ea Ssalaam.Wapili kushoto ni Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea, kulia ni Rais na Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku na kushoto ni Mweka hazina wa Taasisi hiyo, Pamela Bukuku
Rais na Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku (kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa kujadili utamaduni wa Korea Kusini na nchi zingine za Asia uliowahusisha wanafunzi wa vyuo vikuu Jijini Dar ea Salaam kuanzia kusho ni Profesa, Geofrey Calimag kutoka Korea na Spika Mstaafu, Anne Makinda
Rais na Mwanzilishi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku katika picha ya pamoja na wageni wake wa ndani na kutoka Korea Kusini na China
Profesa, Geofrey Calimag (wa pili kushoto) akizungumza katika Mkutano huo, kuanzia kulia ni Rais na Mwanzilishi wa Taasisi hiyo isiyo ya Kiserikali ya Chingu Kota, Andrew Bukuku, Spika Mstaafu, Anne Makinda na Mweka hazina wa Taasisi hiyo, Pamela Bukuku
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment