JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2017 saa
8:00 mchana atawaapisha Makatibu Wakuu wapya, Naibu Makatibu Wakuu wapya na
Wakuu wa Mikoa wapya baada ya jana tarehe 26 Oktoba, 2017 kufanya mabadiliko
katika safu ya uongozi wa nyadhifa hizo.
Kufuatia
mabadiliko hayo safu ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu itakuwa kama
ifuatavyo;
1.
Ofisi
ya Rais Ikulu.
·
Katibu Mkuu – Bw. Alphayo Kidata
2.
Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
·
Katibu Mkuu (Utumishi) – Dkt. Laurian
Ndumbaro
·
Naibu Katibu Mkuu - Dorothy Mwaluko (ATAAPISHWA)
3.
Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
·
Katibu Mkuu - Mhandisi Mussa Iyombe
·
Naibu Katibu Mkuu(Afya) - Dkt. Zainabu Chaula
·
Naibu Katibu Mkuu(Elimu) - Bw. Tixon Nzunda
4.
Ofisi
ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
·
Katibu Mkuu - Mhandisi Joseph Kizito Malongo (ATAAPISHWA)
·
Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Phillipo (ATAAPISHWA)
5.
Ofisi
ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
·
Katibu Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) – Bw. Erick Shitindi
·
Katibu Mkuu(Bunge na Waziri Mkuu) - Maimuna Tarishi
·
Katibu Mkuu(Sera na Uratibu) - Prof.
Faustine Kamuzora
6.
Wizara
ya Kilimo.
·
Katibu Mkuu - Mhandisi Methew Mtigumwe
·
Naibu Katibu Mkuu - Dkt. Thomas Didimu Kashililah (ATAAPISHWA)
7.
Wizara
ya Mifugo na Uvuvi.
·
Katibu Mkuu (Mifugo) - Dkt. Maria
Mashingo
·
Katibu Mkuu (Uvuvi) - Dkt. Yohana
Budeba
8.
Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
·
Katibu Mkuu (Ujenzi) - Mhandisi
Joseph Nyamuhanga
·
Katibu Mkuu (Uchukuzi) - Dkt. Leonard
Chamriho
·
Katibu Mkuu (Mawasiliano) – Dkt. Maria Sassabo
·
Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) – Mhandisi Anjelina Madete
9.
Wizara
ya Fedha na Mipango.
·
Katibu Mkuu - Doto James Mgosha
·
Naibu Katibu Mkuu (Utawala) -
Bi. Susana Mkapa (ATAAPISHWA)
·
Naibu Katibu Mkuu (Fedha za Nje) – Bi. Amina Shaaban
·
Naibu Katibu Mkuu (Sera) -
Dkt. Khatibu Kazungu
10. Wizara ya Nishati.
·
Katibu Mkuu - Dkt. Hamis Mwinyimvua
11. Wizara ya Madini.
·
Katibu Mkuu - Prof. Simon S. Msanjila (ATAAPISHWA)
12. Wizara ya Katiba na Sheria.
·
Katibu Mkuu - Prof. Sifuni Mchome
·
Naibu Katibu Mkuu - Amon Mpanju
13. Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
·
Katibu Mkuu - Prof. Adolf F. Mkenda
·
Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi
14. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa.
·
Katibu Mkuu -
Dkt. Florence Turuka
·
Naibu Katibu Mkuu - Bi. Immaculate Peter Ngwale
15. Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
·
Katibu Mkuu -
Meja Jen. Projest Rwegasira
·
Naibu Katibu Mkuu - Balozi Hassan Simba Yahaya
16. Wizara ya Maliasili na Utalii.
·
Katibu Mkuu - Meja Jen. Gaudence Milanzi
·
Naibu Katibu Mkuu - Dkt. Aloyce K. Nzuki
17. Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi
·
Katibu Mkuu - Dorothy Mwanyika (ATAAPISHWA)
·
Naibu Katibu Mkuu - Dkt. Moses M. Kusiluka
18. Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji.
·
Katibu Mkuu - Prof. Elisante Ole Gabriel
·
Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye (ATAAPISHWA)
·
Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) – Prof. Joseph
Buchwaishaija (ATAAPISHWA)
19. Wizara ya Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi.
·
Katibu Mkuu - Dkt. Leonard Akwilapo
·
Naibu Katibu Mkuu - Prof. James Epiphan Mdoe
·
Naibu Katibu Mkuu - Dkt. Ave-Maria Semakafu
20. Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
·
Katibu Mkuu (Afya) - Dkt.
Mpoki Ulisubisya
·
Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) - Bi. Sihaba Nkinga.
21. Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo.
·
Katibu Mkuu - Bi. Suzan Paul Mlawi (ATAAPISHWA)
·
Naibu Katibu Mkuu - Nicholaus B. William (ATAAPISHWA)
22. Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
·
Katibu Mkuu - Prof. Kitila Mkumbo
·
Naibu Katibu Mkuu - Mhandisi Emmanuel Kalobelo
Mhe. Rais Magufuli
atawaapisha Wakuu wa Mkoa 6 aliwateua jana kama ifuatavyo;
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bw. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Kabla ya
uteuzi huu Bw. Mnyeti alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Bw. Joel Bendera ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bw. Joackim Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Kabla ya
uteuzi huu Bw. Wangabo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na anachukua nafasi
ya Kamishna wa Polisi Zelote Stephen ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bw. Robert Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Kabla ya
uteuzi huu Bw. Luhumbi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na anachukua nafasi ya
Meja Jen. Ezekiel Kyunga ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bw. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Bw. Adam Kigoma
Malima anachukua nafasi ya Dkt. Charles Mlingwa.
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bi. Christine Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya
uteuzi huu Bi. Mndeme alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini na anachukua
nafasi ya Bw. Jordan Rugimbana.
Mhe. Rais Magufuli
atamuapisha Bw. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw.
Byakanwa alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na anachukua nafasi ya Bi. Halima
Dendego.
Tukio la kuapishwa
kwa viongozi hawa litarushwa moja kwa moja (Live) kutoka Ikulu Jijini Dar es
Salaam kupitia vyombo vya habari vya Redio na Televisheni pamoja na tovuti
rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
Gerson
Msigwa
Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es
Salaam
27 Oktoba,
2017
No comments:
Post a Comment