Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha
Utumishi wa Umma Jijini Tanga Elibariki Mushi wa pili
kutoka k ulia ni
akimkabidhi vyakula na vifaa Afisa Mfawidhi Makao ya Wazee Wasiojiweza
MwanzangeJijini Tanga Otilia Chilumba kutoka kwa wanafunzi wa chuo cha
utumishiwa Umma tawi la Tanga ikiwa ni mkakati wa kusaidia jamii
isiyojiweza kulia ni Dastan Kingalu ambaye ni Mratibu wa shughuli
hiyo
Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha
Utumishi wa Umma
Jijini Tanga Elibariki Mushi wa pili kutoka kulia ni
akimkabidhi mbuzi
mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kwa niaba ya wenzake
CHUO cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga
kimetoa msaada kwenye kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Mwanzange
Jijini Tanga ikiwa ni mpango wao wa kuona namna ya kusaidia jamii
inayokabiliwa na changamoto mbalimbali.
Msaada
uliokabidhiwa ni mchele kg 500, unga kg 300, sukari mifuko 2
kg100,sabuni ya unga mifuko 3,sabuni ya maji box 10,sabuni ya
kuogeakatoni 2,maharagwe kg 100,chumvi katoni 10,mbuzi wawili.
Vitu vyengine ambazo vilikabidhiwa ni majani ua chai katoni 2,dagaa kg10,ngano kg 50,miswaki katoni 5,dawa za meno katoni nne,mafuta yakula ndoo tatu na mafuta ya kupikia katoni 10 vyote vina thamani yash.milioni 2.2.

Akizung umza wakati wakikabidhi msaada
huo ,Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma JijiniTanga Elibariki
Mushi aliwataka wanafunzi wajifunze taaluma hiyokatika mtazamo mpana
ambao utawasaidia kuwajenga katika nyanja yakutatua changamoto
zinazozikabili jamiihusika.
Mushi alisema mbali na wanafunzi hao ku jifunza mambo mbalimbali yauga vi na utawala pia wanaowajibu wa kuona umuhimu wa kujali jamii hasazile zinazoishi katika mazingira magumu.
“Tunaimani wanafunzi wetu wanajifunza masuala ya kuutumikia um ma lakini lazima wajikite kuangalia uhalisia halisi katika jamii zetuzinazotuzunguka na tukifanya hivyo tunaweza kuzifikia malengo yakuzisaidia jamii zilizo katika maisha duni”Alisema.
Aidha alisema swala la maadili lipo katika mitaala ya masomo yao hivyolazima wanafunzi hao wajifunze kivitendo kusaidia jamii h itajikaambapo walijitolea kupitia michango yao kwa kujitolea vyakula.

“Ndugu zangu niwaambieni kuwa ujana ni maji ya moto tuutumie vizuri lakini pia acheni kukataa mimba mnazowapa wasichana mtoto utakayemzaandie anaweza kuja kukuokoa baadae “Alisema.
“Wapo baadhi ya wazee walishawahi kunililia walikwisha kuwate lekeza watotowao ndio sababu za kuwepo kwenye kambi za kulea wazee hivyo niwasihiacheni kuwakataa kwani mnaweza kukumbana na changamoto mbeleni
Alieleza pia sababu za baadhi ya wazee wengi kuishi maisha ya t a bu na kulazimika kulelewakwenye vituo maalumu imeelezwa kuchangiwa na baadhi yao kuwakanawatoto wao jambo ambalo linawapelekea kujikuta wakiingia kwenyechangamoto za namna hiyo.
Hatua hiyo inat ajwa kuwapa majukumu mazito wasichana ambao wamekuwaw akikumbana na kadhia hiyo ambao kwa asilimia kubwa wanakuwa wakiishikwa manunguniko (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment