Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Mululi Majula Mahendeka na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party), Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi. Balozi Dk. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu. Mululi Majula Mahendeka na Wawakilishi wa Heshima na Kaimu Mabalozi katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party).
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu. Mululi Majula Mahendeka na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party),



No comments:
Post a Comment