Kikosi cha Chipolopolo ya Zambia.
Mchezaji Mwinyi Kazimoto akipambana na mchezaji Felix Katongo wa Chipolopolo ya Zambia.
Mchezaji Kelvin Yondani (kulia) akimzuia mchezaji Evans Kangwa wa Chipolopolo ya Zambia.
Chipolopolo wakijiandaa kuingia Uwanjani.
Nahodha wa Chipolopolo,Christopher Katongo
Mchezaji wa Chipolopolo,Stoppila Sunzu.
Mrisho Ngasa (kulia) akiumiliki mpira.
Mtoto wa Simba ni Simba pichani Uhuru Mvula (kushoto) akijifua wakati wa mchezo wa timu ya Taifa Stars na Chipolopolo Uwanja wa Taifa Dar es Salaam huku baba yake Hassani Mvula wa Kiss Fm na Radio Free Africa na Star TV akiandaa vitendea kazi.
No comments:
Post a Comment