KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, January 28, 2013

KINANA AKAGUA DARALA LA MALAGARASI, AHUTUBIA NGURUKA NA UVINZA

 Meneja mradi wa ujenzi daraja la Malagarasi wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung Sik You, (wapili kushoto) akiwatembeza Kinana (watatu kushoto), Migiro (wanne) na Nape (wapili kushoto)
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maenezo ya ujenzi wa daraja la Malagarasi kutoka kwa Meneja mradi wa ujenzi daraja hilo wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung Sik You,
 Kinana akizungumza na mwananchi wa Kigoma Amani Khalidi wakati akikagua ujenzi wa daraja la Malagarasi. kuhsoto ni Meneja mradi wa ujenzi daraja la Malagarasi wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung.
 Nape akishiriki kupiga ngoma ya kuongoza matembezi kuingia mji mdogo wa Nguruka. Pembeni yake ni Asha Baraka.
 Dk. Asha Migiro akiwa katika matembezi kuingia mjini mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma. Kushoto ni Asha Baraka.
 Kinana akisalimia wananchi katika mji mdogo wa Nguruka , Uvinza mkoani Kigoma baada ya msafara wake kuwasili katika mji huo.
  Dk. Asha Rose Migiro akishangiliwa na mkazi wa Nguruka, Asha Kipenda wakati wa mapokezi ya msafara wa Kinana na ujumbe wake.
 Kinana mama katika mji mdogo wa Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wakipokea kwashangwe msafara wa Kinana na ujumbe wake ulipowasili.
 Juma Kilabuka na Hasani Kankwi wa mjini mdogo wa Nguruka wakifurahia msafara wa Kinana ulipofika katika mji huo.
 Mwananchi akifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa CCM ulioongozwa na Kinana kwenye uwanja wa shule ya msingi, Nguruka wilayni Uvinza .
 Dk Asha-Rose akihutubia Nguruka
 .Kinana akihutubia Nguruka Kigoma.
 Nape akizungumza Nguruka.
Kinana akiaga wananchi Nguruka, kushoto kwa Kinana ni Migiro.

No comments: