Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokea taarifa fupi
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Montage Bibi Teddy Mapunda kuhusu
harambee ya kuchangia afya ya mama na mtoto iliyofanyika jijini Dar es
Salaam hivi karibuni ambapo Mama Salma alikuwa mgeni rasmi.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokea mfano wa hundi ya shs 70 milioni kutoka kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage Bibi Teddy Mapunda ikiwa ni sehemu ya michango
iliyokusanywa wakati wa harambee
iliyofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar kwa ajili ya afya ya mama na
mtoto hapa nchini. Wengine katika picha (L to R) Ni Ndugu Mwanahamisi Kitogo,
Msaidizi wa Mama Salma, Ndugu Beatrice Mkindi, Mkurugenzi wa Fedha wa Montage,
Ndugu Joyce Mhavile, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV
na wa mwisho ni Ndugu Daud Nassib, Katibu wa WAMA.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama
Salma Kikwete akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa Montage mara baada ya
kupokea hundi ya shs 70 milioni iliyopatikana wakati wa harambee ya kuchangia
afya ya mama na mtoto iliyofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar hivi
karibuni.

Mwnyekiti wa
WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wakuu wa Montage na wale wa WAMA mara baada ya kupokea hundi ya shs 70 milioni kwa
ajili ya afya ya mama na mtoto.
Mama Salma
Kikwete akiagana na Mkurugenzi wa Montage Bibi Teddy Mapunda mara baada ya
makabidhiano ya hundi kwa ajili ya afya ya mama na mtoto iliyofanyika katika
ofisi za WAMA.
(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment