KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, May 6, 2013

PINDA ATEMBELEA KANISA LA OLASITI NA KUZUNGUMZA NA WAUMINI NA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watu waliokuwepo eneo la Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha,wakati alipotembelea kanisa hilo ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.  

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watu waliokuwepo eneo la Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha,wakati alipotembelea kanisa hilo  ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.  
Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba wakati Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo na kusabisha vifo na majeruhi
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino  (kulia) wakati alipotembelea kanisa hilo ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino  (kulia),wakati alipotembelea kanisa hilo ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu akioneshwa eneo lilipoanguka Bomu hilo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo  (katikati),baada ya kutembelea  Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo,baada ya kutembelea  Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.  Kushoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo,baada ya kutembelea  Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.  Kushoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo na kusababisha vifo na majeruhi.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo na kusababisha vifo na majeruhi.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

No comments: