Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John
Pombe Magufuli(Wanne kushoto),Waziri wa Fedha Mgimwa(kushoto),Mwakilishi wa
Balozi wa Japan Bwana Kazuyoshi Matsunaga(Wapili kushoto),Mwakilishi mkazi wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Bi.Tonia Kandiero(Wapili kulia) pamoja na mbunge
wa Isimani William Lukuvi wakikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya
Dodoma Iringa sehemu ya Migori-Fufu Escarpment na Migori Iringa leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwahutubia wananchi waliohudhuria
uzinduzi wa ujenzi wa Babarabara ya Dodoma Iringa mchana.
Baadhi ya Wananchi walihudhuria uzinduzi wa ujenzi wa
Barabara ya Dodoma Iringa eneo la Migori mchana.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment