KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, June 11, 2013

KIBAKA MZOEFU MITAA YA SAMORA DAR ES SALAAM APOKEA KICHAPO CHA PAKA MWIZI KUTOKA KWA WANANCHI WALIOTOSHWA NA TABIA YAKE NA WEZAKE WALIOKIMBIA BAADA YA KUMUIBIA MZUNGU MADOLA KAZAAA.

 Kibaka akiulizwa jina na umri aliongopa na kusema aonewe huruma ana miaka 19 tu.
 Kibaka akivuja damu baada ya kichapo.
 Kibaka chini ya ulinzi mkali akisubili usafiri wa kwenda kituo cha Polisi kwa kuojiwa.
 Kibaka hoi hana hamu ya kuiba kwa muda huu.
 Kibaka akipumua akiwa katika ulinzi mkali wa askari.
 Mkono wa Kibaka nyama nje baada ya kipigo cha wananchi wenye hasira.
 Kibaka akifungwa mkanda wa suruali aliyovaa baada ya kumvuka kwa kipigo.
 Kibaka akipanda gari ya Polisi kwa taabu baada ya kipigo kilichopelekea kutokwa na damu nyigngi.
 Kibaka alitulizwa kwenye gari la Polisi kabla ya kupelekwa Kituo cha Kati.
Wananchi wakiangalia kwa mbali eneo la tukio karibu na majengo yaliyokaribu na picha ya Askari Mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam.

No comments: