KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, June 5, 2013

RAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais)  huku mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya kumlaki.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore.(PICHA NA IKULU).

No comments: