Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT) Sophia Simba
akiwalaki Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina
(PLO), Jehad Abu Zead na Makamu Mwenyekiti wa POL Tayseer Khalid
(mwanaume mwenye miwani) Khalid na ujumbe wake walipowasili kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo jioni kwa ajili ya
sherehe maalum, waliyoandaliwa na UWT kwenye viwanja hivyo jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Wanne Kushoto ni Katibu Mkuu wa UWT,
Amina Makilagi.
Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT) Sophia Simba (wapili
kulia), akiwa na Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa
Palestina (PLO), Jehad Abu Zead, Makamu Mwenyekiti wa PLO Tayseer
Khalid, wakati ujumbe wa chama hicho ulipowasili kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo jioni kwa ajili ya sherehe maalum,
iliyoandaliwa na UWT kwenye viwanja hivyo jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO) Jihad
Abu Zead akitazama bidhaa za kina mama wa UWT, ujumabe wa Makamu
Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khali (kulia kwa Jihad), ulipowalisi. Wengine
ni Mwenyeji wao, Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Dk. Asha-Rose Migoro na Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.
UNAONA WANAVYOWASHANGILIA! Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimwambia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya
Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO), Jehad Abu Zead, wakati ujumbe wa
chama hicho ulipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya sherehe maalum, iliyoandaliwa na UWT
kwenye viwanja hivyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni, Makamu
Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid na Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.
Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT) Sophia Simba akimzadia
nguo, Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO),
Jehad Abu Zead, wakati cha Palestina (PLO) Jehad Abu Zead, akimpa kadi
mwanachama mpya wa CCM, Mohamed Ali, katika sherehe maalum
iliyoandaliwa na UWT kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer
Khalid (kulia) na ujumabe wake, kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es
Salaam
Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose
Migiro akizungumza wakati sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa
Wanawake wa CCM (UWT) kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer
Khalid (Wapili kulia) na ujumabe wake, kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,
Dar es Salaam.
Mamia ya wanachama wapya wa CCM ambao wengi wao ni vijana, wakiwa
katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kupewa kadi zao katika
sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)
kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid (Wapili kulia) na
ujumabe wake, kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO)
Jehad Abu Zead, akimpa kadi mwanachama mpya wa CCM, Mohamed Ali, katika
sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)
kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid (Wapili kulia) na
ujumabe wake, kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba na Wanne ni Katibu wa NEC
ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Wasita
niBalozi wa Palestina hapa nchini, Dk. Nasri Abujaisa.(PICHA NA BASHIR NKOROMO)
No comments:
Post a Comment