Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana asimikwa uchifu wa
kisukuma na kutambulika kama Chifu Kilabanja ,Katibu Mkuu alisimikwa
jana kwenye uwanja wa Mwahnuzi wilayani Meatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mbunge wa
Maswa Magharibi John Shibuda baada ya kukutana kwenye mkutano wa hadhara
wa CCM uliofanyika kwenye kiwanja cha Mwahnuzi wilayani Meatu.(Picha na Adam Mzee).


No comments:
Post a Comment