![]() |
| Umati wa watu uliofurika kwenye viwanja vya Shirati Obwere kwenye mkutano wa hadhara ambao Katibu Mkuu wa CCM alihutubia. |
![]() |
| Mbunge wa Rorya ndugu Lameck Airo akihutubia wananchi wa Shirati Obwere
na kuwaelezea namna alivyofanikisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya
CCM inavyotekelezwa. |
![]() |
| Nape akizungumza. |



No comments:
Post a Comment