KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, September 27, 2013

UCHAMBUZI WA TUMBAKU ALLIANCE ONE.

 Wakichambua Tumbaku.


Baadhi ya wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Alliance One  cha mkoani Morogoro wakichambua tumbaku kabla ya kuendelea na hatua nyingine ya mchakato wa usindikaji wa tumbaku, katika msimu huu kimeweza kununua tumbaku kutoka kwa wakulima tani kadhaa.(Picha na John Nditi).

No comments: