KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, December 6, 2013

WANANCHI WAOMBWA KUITUMIA TOVUTI KUU YA SERIKALI.

 Mkurugenzi wa Udhibiti wa Huduma za Serikali Mtandao nchini Bw. Michael Moshiro akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa taarifa za serikali kwenye Tovuti Kuu Serikali. Amewaomba watanzania kuitembelea tovuti hiyo ili wapate taarifa na huduma zinazotolewa na serikali.Kulia kwake Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala hiyo Bi. Suzan Mshekangoto.
Waandishi wa Habari wakiwa kwenye Mkutano na watendaji wa Wakala ya Serikali leo jijini Dar es salaam. Mkutano umelenga kuwahamasisha watanzania kuitumia Tovuti Kuu ya Serikali inayopatikana kwa anuani ya www.tanzania.go.tz.(Picha na Aron Msigwa- MAELEZO).

No comments: