Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akishikana mkono na Katibu Mtendaji wa Shirika la
Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim Unwin (kulia) baada ya Waziri
Mukangara kufungua kongamano la tisa la mabadiliko
ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha jana. Kushoto
ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John
Nkoma (katikati).
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akizungumza jambo na Katibu Mtendaji wa Shirika la
Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (katikati) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano
la tisa la mabadiliko ya mfumo wa
utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Umoja wa mashirika ya
Posta Afrika (PAPU), Younouss Djibrine (kushoto) baada ya Waziri Mukangara
kufungua kongamano la tisa la mabadiliko
ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha jana. Wengine
ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO)
Tim Unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Prof. John Nkoma (wapili kushoto) (Picha
na TCRA).



No comments:
Post a Comment