Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishuka kwenye Ndege, Uwanja wa Ndege
wa Sumbawanga baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku
21, katika mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus Matete, akimlaki Kinana (kulia) Uwanja
wa Ndege wa Sumbawanga, leo. Kushoto ni Katibu wa CCM wa mkoa, Lahel
Ndegeleke.
Chipukizi wa CCM, Sharifa Tamim akimvisha skavu Kinana Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana akipita katika paredi la Chipukizi baada ya kulakiwa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
akiwasalimia viongozi mbalimbali Uwanja wa Ndege wa Sumbawanja, anayesalimia (kushoto) ni Mjumbe wa NEC, Ali Karume
Kinana
akimsalimia Mwenyekiti wa CCM Sumbawanga mjini, Emmanuel Kilindu, baada
ya kuwasili Uwanja wa Sumbawanga, Kati ni Mzee wa Chama, Clisant
Msindakaya
Kinana akisalimia wananchi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana na Karume wakiaga wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana na Karume wakifurahia ngoma, Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
akiwaaga wananchi waliompokea Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
akiwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Rukwa kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa
Kinana
akifurahia jambo na Mzee wa Chama, Chrisant Mzindakaya nje ya Ofisi ya
CCM mkoa wa Rukwa. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment