Wananchi wa Mbagala Kuu waathilika na Mabomu ya 29/ 4/ 2009 wakiwa na mabango yanayomlalamikia rais wa nchi asikilize kilio chao cha kufanyiwa unyama na viongozi waliosimamia zoezi la malipo yao wakati rais alipowatembelea alisema atawalipa hadi kijiko matokeo yake ikawa dhuluma ambayo utaiona katika baadhi ya hundi chini ukweli hakuna malipo sahihi ya hundi kama haya.
Wananchi wa Mbagala Kuu Waathilika na Mabomu wanaamini wametolewa Kafara kwa viongozi waliosimamia malipo kwa kunufaika kupitia matatizo yao.
Ndugu rais wananchi wanasema toka ulipokwenda mbagala Kuu februari 2010 hakuna kilichofanyika zaidi kulipwa kiasi cha Tsh 1,400 na 1950 fidia ya nyumba je hii ndiyo HAKI? Rais.
Wanasikitika kwa kutotendewa haki ya kibinaadamu.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kulalamikia malipo ya dhuluma.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kulalamikia malipo ya dhuluma.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kulalamikia malipo ya dhuluma.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kulalamikia malipo ya dhuluma.
Hundi ambazo siyo sahihi kwa malipo ya waliopoteza nyumba wa watu na mali huu siyo Ubinadamu madaraka yana mwisho.
Hundi ambazo siyo sahihi kwa malipo ya waliopoteza nyumba wa watu na mali huu siyo Ubinadamu madaraka yana mwisho.
No comments:
Post a Comment