Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa
Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo
ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani
na kuleta tija nchini.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya
ufunguzi wakati wa mkutano wa mabalozi wa Tanzania.Mkutano huo umeandaliwa na
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Watatu Kushoto ni Waziri wa
Mambo ya Nje Mh.Bernard Membe,Wanne kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Liberata
Mulamula(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment