Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
(THBUB) Bahame Nyanduga (kushoto)
akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana kuhusu taarifa ya Uchunguzi
wa Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi za
kuwapiga na kuwadhalilisha Viongozi na wafuasi wa CUF huko Mtoni Mtongani
Manispaa ya Temeke.
No comments:
Post a Comment