Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda
mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini
New Delhi India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.Walioketi mbele
kutoka kushoto ni baadhi ya mawaziri anaofuatana nao katika ziara
hii.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje Mahadhi Juma Maalim,
watatu kushoto ni Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe,watatu kulia ni
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Zanzibar Haji Omar Kheri,Wanne kulia ni
Waziri wa Viwanda na Biashara Dr.Abdallah Kigoda, na wapili kulia ni
Mbunge wa Nzega Said Nkumba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyabiashara wa India wenye viwanda ambao wamewekeza nchini Tanzania
muda mfupi baada ya kukutana nao.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment