Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali zilizohifadhiwa kumbukumbu za aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemo Indra Gandhi wakati wa uhai wake. Marehemu Idra Gandhi aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 31.10.1984 akiwa kwenye viwanja vya nyumba hiyo ambayo alikuwa akiishi.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali zilizohifadhiwa kumbukumbu za aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemo Indra Gandhi wakati wa uhai wake. Marehemu Idra Gandhi aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye viwanja vya nyumba hiyo ambayo alikuwa akiishi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu Indra Gandhi wakati alipotembelea makumbusho ya waziri mkuu huyo huko New De;lhi nchini India.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na kiongozi anayesimamia Makumbusho ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemu Indra Gandhi (jina lake halikuweza kupatikana) mara baada ya kumaliza kutembelea makumbusho hayo.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipewa taarifa
mbalimbali na Bwana Rajan Madan,
Mkurugenzi wa Uzalishaji katika Kiwanda
cha New Holland Fiat Limited kuhusiana na utengenezaji wa matrekta kwenye
Kiwanda hicho huko New Delhi. Mama Salma
Kikwete aliambatana na Rais Kikwete kuzuru kiwandani hapo ili kujionea utengenezaji wa matrekta.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment