Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa
Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya
kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini
India Mhandisi John Kijazi
Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa
miaka (11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India
leo kwa ziara ya kiserikali (State Visit) ya siku nne. (Picha na FreddyMaro)
No comments:
Post a Comment