Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa
Pranad Mukherjee wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya Rais
kikwete kuwasili katika ikulu ya India kwa mapokezi rasmi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride la Majeshi ya India liliandaliwa kwa ajili ya
kumkaribisha kwa ziara rasmi ya Kiserikali nchini India katika sherehe
za ukaribisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na Rais wa India, Mheshimiwa Pranad Mukherjee (kushoto) na
Waziri Mkuu, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kumalizika kwa
sherehe za kumkaribisha nchini India kwa ziara rasmi ya Kiserikali.
Sherehe hizo zimefanyika Ikulu ya India mjini New Delhi,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India,
Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za
ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali.
Sherehe hizo.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment