KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, May 8, 2016

RAIS MAGUFULI AJUMUIKA NA WANANCHI KUFANYA IBADA ARUSHA.

 Rais Dk. John Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha
 Rais,  John  Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana.
 Rais Dk. John Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada.
 Sehemu ya waumini wakimsikiliza Rais Dk. John  Magufuli alipokuwa akiwsalimia  aliposhiriki ibada.
  Rais  Dk. John  Magufuli akisalimia na wanakwaya  aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana.
  Rais Dk. John  Magufuli akisalimia baadhi ya watawa.
   Rais  Dk. John Magufuli akisalimia baadhi ya watawa.
   Rais Dk. John  Magufuli akisalimia baadhi ya watawa.
   Rais  Dk. John  Magufuli akiagana na Padri Kiongozi Germin Longio baada ya kushiriki ibada.  Kulia ni Pdr. Germin Longio na kushoto kwake ni Padri  wasaidizi Prosper Tesha na Furchong James Luis
  Rais  Dk. John Magufuli akisalimiana na vijana wa altari.
 Rais  Dk. John Magufuli akishiriki katika  ibada.
 Rais Dk. John Magufuli akishiriki katika  ibada.
 Sehemu ya waumini wakimsikiliza Rais.
 Rais  Dk. John  Magufuli akishiriki katika  ibada.
 Rais  Dkt. John  Magufuli akishiriki katika  ibada.
 Rais  Dk. John  Magufuli akishiriki katika  ibada.
 Rais  Dk. John  Magufuli akipokea zawadi ya Rozari  kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto.
 Rais  Dk. John Magufuli akishukuru baada ya kupokea zawadi ya Rozari kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto.
Rais  Dk. John Magufuli akipokea zawadi ya Biblia Takatifu kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto.

No comments: