KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, January 24, 2017

POLEPOLE AKUTANA NA MAOFISA WAANDAMIZI WA UBALOZI WA MAREKANI NCHINI.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton (kushoto), Katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, Wapili kulia ni Ofisa Habari wa Ubalozi huo, Lauren Ladenson. Wanaotazama Kamera ni Maofisa Waandamizi kutoka Idara za Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa na Idara ya Itikadi na Uenezi
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton (kulia), Katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Wapili kulia) ni Ofisa Habari wa Ubalozi huo, Lauren Ladenson.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo. 
 Mazungumzo yakiendelea.

No comments: