Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza waombelezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge
wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika Kanisa Katoliki
Parokia ya Kiwanja Cha Ndege, Jimbo Kuu Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombelezaji mara baada ya ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja Cha Ndege, Jimbo Kuu Dodoma.
Picha za matukio mbalimbali wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja Cha Ndege, Jimbo Kuu Dodoma.






No comments:
Post a Comment