Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kabla ya kukabidhiwa Tuzo tatu ambazo Tanzania imeshinda katika Utalii, Afrika na Duniani. Kikao hicho kilifanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar. 2026. Tuzo hizo zimetolewa na Taasisi ya World Travel Awards (WTA) yenye Makao Makuu yake Jijini London, Uingereza.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kabla ya kukabidhiwa Tuzo.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kabla ya kukabidhiwa Tuzo.
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la Utalii wa Safari Duniani (World’s Leading Safari Destination) kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Ashatu Kijaji, Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk. Ashatu Kijaji, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Hamad Hassan Chande baada ya kupokea Tuzo za Utalii za “WORLD TRAVEL AWARDS”
Muonekano wa Tuzo za “WORLD TRAVEL AWARDS” ambazo Tanzania imeshinda.







No comments:
Post a Comment