KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, January 7, 2026

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu - Zanzibar, 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Rhimo Simeon Nyansaho, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Faraji Mnyepe na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Rhimo Simeon Nyansaho, Katibu Mkuu Kiongozi balozi Dk. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Faraji Mnyepe, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,baada ya mazungumzo.

Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu -Zanzibar, 

No comments: