KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, December 20, 2012

MAHINDI YAPANDA BEI KILO MOJA SH- 850 NA SEMBE KILO MOJA MTAANI SH- 1500.


Wabeba mizigo wa Manzese Muungano Dar es Salaam wakishusha mahindi katika gari yanayotoka Mkoani Dodoma, kwa sasa yanauzwa kilo 1- Sh 850 yakitayarishwa  kuwa sembe kilo 1 inauzwa Sh 1,500 Mitaani hivyo basi hali ya maisha inakuwa ngumu kwa Wananchi.


Wabeba mizigo wa Manzese Muungano Dar es Salaam wakishusha mahindi katika gari yanayotoka Mkoani Dodoma, kwa sasa yanauzwa kilo 1- Sh 850 yakitayarishwa  kuwa sembe kilo 1 inauzwa Sh 1,500 Mitani hivyo basi hali ya maisha inakuwa ngumu kwa Wananchi.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG).

No comments: