UJENZI WA BARABARA YA MOROGORO ITAKAYOTUMIKA MABASI YAENDAYO KASI YAJENGWA KWA KASI.
Eneo la Manzese Darajani barabara ikiendelea kujengwa kwa kasi kama inavyoonekana.
Kazi ya
Ujenzi wa Barabara ya Morogoro kwa ajili ya magari ya mwendo wa kasi nayo
imeshika kasi kama inavyoonekana magari ya Kampuni ya Strabag yakimwaga kifusi
eneo la Manzese Darajani.(PICHA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment