KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, December 14, 2012

MUUNGANO WA MAKAMPUNI YA UWINDAJI WA KITALII WENYE VITALU ENEO LA PORI LA AKIBA LA RUNGWA YAIPATIA IDARA YA WANYAMAPORI VIFAA VYA MAGARI VYENYE THAMANI YA SH.MILIONI 42.

 Mratibu wa Muungano wa  Kampuni  10 za Uwindaji wa Kitalii katika eneo la pori la Akiba la Rungwa,Mohsin Abdallah (wa tatu kulia) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Mapori Idara ya Wanyamapori,Twaha Twaibu (kushoto),moja ya msaada wa  Vifaa vya magari,Batteres,magurudumu na vinginevyo vyenye thamani ya Sh.Milioni 42 kwa ajili ya kuimarisha ulinzi wa Ujangili. Wengine ni Meneja wa Pori la Akiba la Rungwa,Julius Kibebe (wa pili kulia) na Akram Aziz wa Wembere Hunting Safari.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa Muungano wa Wawindaji  wakishuhudia utoaji wa vifaa vya magari. 

No comments: