Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea mgeni wake, Rais wa Madagascar , Mheshimiwa
Andry Rajoelina mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, Ijumaa, Desemba 14, 2012 kwa ziara ya siku
mbili nchini. (Picha na Fredy Maro, Ikulu).

No comments:
Post a Comment