1. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,
Mhe. Angellah Kairuki akizungumza jambo wakati alipotembelea banda la
Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu duniani zinazoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Kulia ni Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume hiyo, Bw. Andrew Eriyo.
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Amour Kagya (kulia) akigawa nakala ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano na machapisho mbalimbali yanayotolewa na Tume hiyo kwa wananchi waliotembelea banda
la Tume hiyo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Haki za Binadamu Duniani zinazofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
Dar es Salaam.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
No comments:
Post a Comment