Ndege ya Turkish Airlines aina ya B 737-900 ambayo ni ya 200 kwa shirika hilo ikitua kwenye Uwanja wa KIA kwa staili yake.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Turkish
Airlines Dkt.Temel Kotl akishuka kwenye ndege ya Turkish Airlines aina ya
B737-900 wakati wa hafla uzinduzi wa safari ya ndege hiyo ya
Instabul-Kilimanjaro iliyofanyika kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA jana. Picha na
Mpiga picha wetu.
Badhi ya abiria wakishuka akishuka kwenye ndege ya Turkish
Airlines aina ya B737-900 wakati wa hafla uzinduzi wa safari ya ndege hiyo ya
Instabul-Kilimanjaro iliyofanyika kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA jana. Picha na
Mpiga picha wetu.
Meneja wa Maendeleo wa Biashara KADCO Christine Mwakatobe (katikati) akiwakaribisha wageni waliefika kuipokea ndege hiyo. Kushoto ni Naibu Ktibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi John Mngodo.
Meneja wa Maendeleo wa Biashara KADCO Christine Mwakatobe (katikati) akiongoza msafara wa kuipokea ndege hiyo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi John Mngodo (wanne kushoto)
akikata utepe kuzindua safari ya Shrika la Ndege la Turkish Airline kwenye
Uwanja wa KIA jana. Watatu kutoka
kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Turkish Airlines
Dkt.Temel Kotl. Pichna na mpiga picha weti.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Turkish Airlines Dkt.Temel Kotl (kulia)akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya KADCO Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Turkish Airlines Dkt.Temel Kotl wakati wa hafla uzinduzi wa safari ya ndege ya Turkish Airlines ya Instabul-Kilimanjaro katika hafla siliyofanyika kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA jana. Picha na Mpiga picha wetu
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi John Mngodo (wa pili kulia) akiongoza zoezi la kukata keki kama ishara ya uzinduzi wa safari za ndege hiyo kwenye uwanja wa KIA.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment