KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, December 21, 2012

RAIS KIKWETE APONGEZWA NA WASANII WAKONGWE KWA KUWAJALI.

 Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki na Wasanii wa Filamu walipotembelea Ikulu Dar es Salaa.


 Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mwanamuziki wa Kilimanjaro Njenje, Waziri
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na King Kiki huku akishuhudiwa na wasanii Hamza Kala (wa tatu kushoto) Ruge Mtahaba (katikati) na wengineo waliofika Ikulu Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni wa fani za filamu na muziki.

No comments: