KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, December 3, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO RONDO,LINDI VIJIJINI.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji  Kiongozi Fakhi
Jundu (kushoto),Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Bernard Membe (watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick
Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Mahakama ya
Mwanzo lilijengwa kwa nguvu za wananchi na wafadhili katika Kata ya
Rondo,Jimbo la Mtama,Lindi vijijini.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Kiongozi Fakhi Jundu
wakikagua Jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu ya
wananchi na wafadhili mbalimbali katika Kata ya Rondo, Jimbo la
Mtama,Lindi Vijijini. (Picha na Freddy Maro)

No comments: