KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, January 24, 2013

AJALI YA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA MWANANCHI.

 Namba za pikipiki iliyompotezea maisha Mwananchi.
 Pikipiki aliyokuwa akiendesha ikiwa imebebwa.
 Sehemu ya nyuma ya gari lililoua.
 Gari lililogonga na kuua sehemu ya mbele na namba yake.
 Mwananchi aliyekufa akiwa amelala kama vile yupo hai.
 Wananchi wakimuangalia ili kuweza kumtambua.
Watu waliokuwepo kwenye tukio wakimgeuza ili kufahamu kama amekufa.

NA TANZANIA LIVE BLOG
Mwananchi aliyetambulika kwa jina la Hussein Shaban (25) aliyekuwa mafanyakazi wa Mount Meru Petroleum Ttd, aligongwa na gari  lililobeba mafuta na kufa papo hapo, gari hilo  likitokea Bandarini lilipofika makutano ya barabara ya Chang'ombe na Mandela kwenye mataa ya kuongozea magari.
Kwa mujibu watu walioshuhudia tukio hilo 'walisema marehemu alikuwa akitokea upande wa Mjini alipigiwa honi lakini aliamua kuwahi kabla hajamaliza barabara upende wa pili gari hilo lilimuwahi na kumgonga na hatimaye kupelekea umauti wake.

No comments: