NSSF
TANGAZO
Tuesday, January 22, 2013
MAMA SALMA ATEMBELEA AMREF NA POUR FOUNDATION NCHINI UFARANSA.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwanzilishi na Rais wa
Foundation Pour l¨ Enfrance Mama Anne Aymone Giscard d' Estaing Mke
wa Rais Mstaafu wa Ufaransa Bwana Valery Giscard d' Estaing, wakati Mama
Salma alipotembelea makao Makuu ya Taasisi hiyo Jijini Paris Ufaransa, Mama Salma yupo nchini umo akifuatana na Rais
Kikwete kwenye ziara ya Kiserikali nchini humo:
Rais wa AMREF France Bwana Nicolas Merindol akimkaribisha Mke wa
Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma
Kikwete kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo Jijini Paris nchini Ufaransa na baadaye viongozi hao walifanya mazungumzo juu
ya ushirikiano zaidi wa Taasisi hizo katika masuala ya afya na elimu: (PICHA NA JOHN LUKUWI)
No comments:
Post a Comment