1.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward
Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika kwenye Ofisiza Tume Dar es Salaam, alitoa maoni na uzoefu
wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume Bi. Maria Kashonda.
1.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward
Lowassa akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume Dar es Salaam,alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph
Warioba na Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
1.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba nje ya Ofisi za Tume hiyo Dar es Salaam baada ya kutoa maoni na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Wengine pichanini Wajumbe wa Tume, Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi.
Maria Kashonda na Dkt. SengondoMvungi.
1.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim
Ahmed Salim (kushoto) akibadilisha mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward
Lowassa (katikati) nje ya Ukumbi wa Tume hiyo, mara baada ya Mhe. Lowassa kuwaslisha maoni na uzoefu
wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Koashonda.
Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amabaye ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano. ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
1.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw.
Omari Sheha Mussa akizungumza na ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE)
katika mkutano uliofanyika kwenye Ofisi zaTume hiyo, Dar es Salaam, ATE
iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. (PICHA NA TUME YA KATIBA)
No comments:
Post a Comment