KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, January 18, 2013

PRECISIONAIR YANG'ARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA SONGWE MBEYA.



Mkurugenzi wa Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu,(mbele) na Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir, Michael Shirima, wakitelemka katika Ndege ya PrecisionAir  kwenye Uzinduzi wa kuanzishwa Safari ya kwanza ya ndege hiyo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa  Songwe  Mbeya.

 Mkurugenzi wa Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi,  Peter Lupatu,(wa pili kushoto) akikata utepe kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa  Songwe  Mbeya kuashiria Uzinduzi wa kuanzishwa Safari ya kwanza ya ndege za PrecisionAir kati ya Dar es Salaam na huko.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir,Michael Shirima,(wa tatu kulia) na katikati ni Mwenyekiti wa Shirikisho la wenye Viwanda (Cti), Felix Mosha.
Abiria wa kwanza kukata tiketi ya kwanza ya safari ya PrecisionAir kwenda Mbeya,Alfred Mwambeleko (kulia) na wa pili kununua tiketi ni dada yake Cynthia Mwambeleko,wakisafiri angani kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe Mbeya wakitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa ndani ya Ndege akisambaza gazeti la HABARILEO kwa Abiria.

Abiria wakipata habari ndani ya HABARILEO.
Abiria wakipata habari ndani ya HABARILEO.

Mkurugenzi Mkuu wa Masoko Agencies Tanzania Ltd,Yohana Mtweve.(kulia) akiwa na Mdau.

Wadau ndani ya PrecisionAir wakielekea Mbeya Uwanja wa Kimataifa Songwe.
Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir,Michael Shirima,(kulia) akizungumza na abria namba,Alfred Mwambeleko.
Mkuu wa Masoko wa PrecisionAir,Linda Chiza akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Masoko Agencies Tanzania Ltd,Yohana Mtweve.
Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir,Michael Shirima,(kulia) wakifurai na Mkurugenzi Mkuu wa Masoko Agencies Tanzania Ltd,Yohana Mtweve.
Abiria wakitelemka katika ndege Uwanja wa Kimataifa Songwe Mbeya.
Abiria wakitelemka katika ndege Uwanja wa Kimataifa Songwe Mbeya.
Abiria wakitelemka katika ndege Uwanja wa Kimataifa Songwe Mbeya.
Abiria wakiwa ndani ya ndege ya PrecisionAir wakielekea Mbeya.
 Wafanyakazi  wa sehemu mbalimbali na wageni waalikwa wakishuudia Uzinduzi.
Wafanyakazi  wa sehemu mbalimbali na wageni waalikwa wakishuudia Uzinduzi.
Wafanyakazi  wa sehemu mbalimbali na wageni waalikwa wakishuudia Uzinduzi.
PrecisionAir Mbeya Songwe.
 Baadhi ya wakazi wa Mbeya wakishuhudia kuwasili kwa ndege ya PrecisionAir katika Uwanja wa Kimataifa Songwe.
Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir,Michael Shirima. akizungumza wakati wa sherehe za Uzinduzi wa safari ya PrecisionAir Uwanja wa Songwe Mbeya.
Mkurugenzi wa Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi,  Peter Lupatu, akizungumza wakati wa sherehe za Uzinduzi wa safari ya PrecisionAir Uwanja wa Songwe Mbeya.
Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa Mbeya,Dk,Norman Sigala, Mkurugenzi wa Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi,  Peter Lupatu na Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir, Michael Shirima na Mwenyekiti wa Shirikisho la wenye Viwanda (Cti), Felix Mosha (kulia)
Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa Mbeya,Dk,Norman Sigala, Mkurugenzi wa Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi,  Peter Lupatu na Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir, Michael Shirima,
 Baadhi ya wakazi wa Mbeya wakishuhudia kuwasili kwa ndege ya PrecisionAir katika Uwanja wa Kimataifa Songwe.
 Mwenyekiti wa Bodi ya PrecisionAir,Michael Shirima (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa wenye Viwanda Tanzania (Cti),Felix Mosha (kulia).
 Rubani na wafanyakazi baada ya safari ya kutoka Mbeya.
 Wadau wakipiga picha katika mitindo ya MANYO.
Wadau wa Habari wakiwa katika picha ya pamoja na Marubani wa Ndege ya PrecisionAir Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam baada ya Safari ya Mbeya.


Na TANZANIA LIVE BLOG;

Shirika la Ndege za PrecisionAir limezindua safari zake rasmi katika Mkoa wa Mbeya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe.
Ratiba za safari zitakuwa kama ifuatavyo wiki mara nne siku ya Jumatau,Jumatano,Ijumaa na Jumapili ni kwenda na kurudi Dar es Salaam.
Wakazi wa Mbeya Wafanyabiashara na watu mbalimbali sasa muda umefika wa kusafiri kwa uhakika na PrecisionAir.

No comments: