KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, January 7, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE, AFUNIKA IGUNGA TABAORA.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na kutoa ushauri kwa kundi la vijana 10 ambao baada ya kumaliza chuo kikuu wamejikusanya na kuunda kikundi cha ujasiriamali mjini Igunga wakijishugulisha na Kilimo.
 Wananchi wakivuta katika sehemu itayojengwa darala la kisasa la Mbutu la Igunga ambao ujenzi wake umezinduliwa leo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, hatua ambayo itatatua kabisa tatizo la Miundombinu.

 Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akijiunga na bendi ya Msondo Ngoma kutumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu la Igunga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ramani ya daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu la Igunga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia mashine ya kuchimbia mashimo ya nguzo za daraja na baadaye anakata utepe kuzindua ujenzi daraja la Mbutu la Igunga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenyaambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mradi wa Chujio la maji safi kwa mji wa Igunga sehemu za Bulenya ambapo wakazi asilimia 70 wa mji huo watapata maji safi
 Rais Jakaya Kikwete akiangalia sehemu maji yanapopitia.
Rais Jakaya Kikwete,akiangalia sehemu maji yanapopitia.(PICHA NA IKULU).

No comments: