Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika
na wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo Mkoa wa
Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na
wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani,
wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani
Kikwete kwa wanakijiji wenzake wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kwa
fashifashi na ngoma za utamaduni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono
wa heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma
za kienyeji
Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia
fashifashi wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment