Mama Salma
Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wa mkoa wa Lindi waliohudhuria sharehe za
kutimiza miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha
Rondo kata ya Chiponda mkoani Lindi.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wa wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akifungua rasmi jengo la CCM
Tawi la Rondo kata ya Chiponda huko Lindi Vijijini wakati wa kilele cha
sherehe ya kutimiza miaka 36 ya CCM zilizofanyika kimkoa kijijii hapo. Kulia
kwa Mama Salma ni Mjumbe wa NEC Taifa, Mbunge wa Mtama na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe.

Ngoma ya Linyamwa ya kabila la Wamwera
ikichezwa na wananchi wa kijiji cha Mpenda kutoka wilaya ya Lindi vijijini wakati wa kilele cha
sherehe ya kutimiza miaka 36 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi zilizoazimishwa
kimkoa katika kijiji cha Rondo.

Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi katika sherehe za kutimiza miaka 36 ya CCM Mkoani
Lindi akijumuika na wacheza ngoma ya Linyamwa kucheza ngoma hiyo. Sherehe hizo
zilifanyika katika kijiji cha Rondo huko Lindi vijijini.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba
kutoka kwa mgeni rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha kutimiza miaka
36 ya ChamaCha Mapinduzi. Sherehe
zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Rondo kata ya Chiponda huko Lindi
vijijini.
Mjumbe wa
NEC na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa
Bernard Membe akimvisha skafu Bwana
Omary Issa kutoka Chama cha Wananchi, CUF,
akiwa ni miongoni mwa wanachama
wapya waliojiunga na CCM kutoka vyama vingine vya siasa wakati wa kilele cha
sherehe za kutimiza miaka 36 ya kuzaliwa chama hicho.
Mjumbe wa
NEC Taifa kutoka wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akimkabidhi kadi ya
CCM mwanachama mpya ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja wakati wa
sherehe za kutimiza miaka 36 ya chama hicho zilizofanyika kimkoa katika kijiji
cha Rondo huko Lindi Vijini.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba
kutoka kwa mgeni rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha kutimiza miaka
36 ya ChamaCha Mapinduzi. Sherehe
zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Rondo kata ya Chiponda huko Lindi
vijijini.
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba
kutoka kwa mgeni rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha kutimiza miaka
36 ya ChamaCha Mapinduzi. Sherehe
zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Rondo kata ya Chiponda huko Lindi
vijijini.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akishirikiana na Mjombe wa NEC Taifa Mheshimiwa Bernard
Membe (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ndugu Ali Mtopa kukata keki
katika kusherehekea miaka 36 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi zilizofanyika
kimkoa katika kijiji cha Rondo huko Lindi vijijini.(PICHA NA JOHN LUKUWI)
No comments:
Post a Comment