KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, June 30, 2013

MAONYESHO YA 37 YA BIASHARA YA KIMATAIFA,MABANDA YA NSSF,EAGgroup,NMB YASHAMILI NA MCHINA ALIYEIBIWA SIMU YA SAMANI ALIA KWA UCHUNGU.

Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mahali lilipo katika Uwanja wa Sabasaba Barabara ya Kilwa Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa mlangoni wakifuatilia usalama katika banda hilo.
Mfanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akiwapa maelekezo watoto waliotembelea banda hilo Uwanja wa Sabasaba barabara ya Kilwa Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akiwapatia madaftari watoto waliotembelea banda hilo Uwanja wa Sabasaba barabara ya Kilwa Dar es Salaam.
 Mfanyakazi wa NSSF akimpa maelekezo mteja aliyetembelea Banda hilo.
 Mteja wa NSSF,(kushoto) akipewa maelekezo na mfanyakazi wa NSSF.
 Mteja akipewa kipepelushi.
 Mteja wa NSSF akipewa maelekezo mapokezi.
 Wateja waliotembelea Banda la NSSF wakingojea huduma.
 Mfanyakazi wa NSSF,(kulia) akimpa maelekezo mteja alifika katika Banda hilo.
 Mfanyakazi wa NSSF,Joyce Mruma,(kushoto) akimpa maelekezo mteja aliyetembelea Banda hilo.
 Wafanyakazi wa NSSF sehemu ya mapokezi wakitabasamu katika picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa NSSF wakiwa mapokezi katika Banda hilo.
 Duka la NSSF ndani ya Uwanja wa Sabasaba.
KAMPUNI YA SIMU YA EAGgroup LTD YALETA SIMU AINA YA MOTEK ZA KISASA ZENYE NGUVU YA MUDA MREFU KUHIFADHI CHAJI NA ZINAUZWA BEI POA LINE MBILI TEMBELEA BANDA LAO UPATE HUDUMA YAO.
  Eneo lilipo Banda la EAGgroup Ltd ndani ya Uwanja wa Sabasaba karibu na Banda la Tanesco zamani.
 Wafanyakazi wakiwahudumia wateja waliofika katika Banda.
 Mteja akipata maelekezo ya kutumia simu aina ya Motek.
 Mteja akipata maelezo ya ubora wa simu aina ya Motek.


 Mteja akiangalia moja ya simu aina ya Motek.
MABINGWA wa huduma za kibenki nchini NMB wakitoa huduma kwa wateja waliotembelea Banda hilo katika Uwanja wa Sabasaba Barabara ya Kliwa Dar es Salaam.
 Eneo lilipo Banda la NMB Uwaja wa Sabasaba.
 Wateja wakipata huduma ya mpya ya Chap chap katika banda la NMB Uwanja wa Sabasaba.
 Mchina akitoa maelezo baada ya vibaka kuiba simu yake yenye gharama kubwa.
 Mchina akiwa hana la kufanya kwa masikitiko baada ya vibaka kuiba simu yake.
Mchina akilia kwa uchungu baada ya vibaka kuiba simu yake yenye mambo muhimu na kupelekea maonesho kuyaona machungu sana mwaka huu.

No comments: